Yesu Akamwambia "Lisha Kondoo Zangu" (Yohana 21:17)
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Sikiliza Mafundisho ya
Neno la Mungu na Maombi kila
siku saa 10:30 mchana na usiku
>> Bonyeza Hapa Kusikiliza
Kuombea Huduma Hii
Bonyeza Hapa
MATUKIO MAPYA  
  • Neno la Mungu
  • Jina la Yesu
  • Ratiba ya 2012
KITABU CHA WAGENI  
Kusaini Bonyeza Hapa

Semina katika hema, zilizofanyika june - decemba mwaka 2011

HABARI MPYA  
  Barua za Mwezi

2011: Mwezi Decemba


Soma Barua za miezi iliyopita

Learn more about the Nation of Israel.

Kongamano la Maombi Riport

  Kuchangia Huduma
 "Tena wahubirije, wasipopelekwa ..." Warumi 10:15a

"Ni askari gani aendaye vitani wakati wowote kwa gharama zake mwenyewe?" 
1 Wakor 9:7

Kuchangia huduma za kupeleka neno la Mungu - kwa fedha na/au mali - ni utaratibu ambao Mungu ameuweka.

Kama unapenda kuchangia huduma hii bonyeza HAPA kwa maelekezo zaidi.
MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU
 MASOMO YA
 SEMINA
 
 MASWALI NA
 MAJIBU
 
 VIPINDI VYA
 REDIO
  • Redio Free Africa - MW 1377 Tanzania yote, Kenya, Uganda, Rwanda Burundi, Kongo, Zambia, Malawi, Msumbiji - kila J'pili saa 12:30 - 1:30 jioni
  • Redio Sauti ya Injili - K'njaro, Arusha, Tanga - kila J'mosi + J'pili saa 3 - 4 usiku
  • Redio Wapo - D'Salaam - kila J'tano saa 3 - 4 usiku
  • Redio Faraja - Shinyanga - kila J'mosi + J'pili saa 3 - 4 usiku.
 

JE, UNATAKA KUOKOKA? BONYEZA HAPA

  MAILING LIST   ANUANI YETU
Mailing List ni mtandao wa mawasiliano kwa email unaokuwezesha kupata habari mbalimbali kila mara. Kujiunga ni bure. Inahitajika email address yako tu. Namna ya kujiunga:
1. Tuma email kwa "injili-request@kicheko.com"
2. Usiandike chochote katika  sehemu ya "Subject"
3. Sehemu ya ujumbe andika "join"
Komputa itakuunganisha na kukupa majibu papo hapo.
Kama unataka kumuunganisha rafiki yako ktk hatua ya 3 baada ya neno subscribe andika email address yake. Atatakiwa kuthibitisha.
 
Kwa mawasiliano zaidi

Christopher & Diana Mwakasege
P. O. Box 2166,
Arusha, TANZANIA.
Phone: +255-27-2504289
Fax: +255-27-2504289
Email: tasoet@nexusdigital.co.tz
 
©2003-2011 Tanzania Social and Economic Trust.  All Rights Reserved.