Yohana 21:17 "Yesu akamwambia,"Lisha kondoo zangu"

Habari

Mwl. Christopher Mwakasege

Habari

Semina ya Neno la Mungu Mkoa wa Kilimanjaro tarehe 25 Februari hadi tarehe 03 March, 2019 ...


Huduma ya Mana, wakishirikiana na kamati ya maandalizi ya Semina za Mwl Mwakasege Mkoa wa Kilimanjaro wanakuletea semina ya neno la Mungu katika mkoa wa Kilimanjaro, itakayofanyika kuanzia tarehe 25 Februari hadi tarehe 03 Marchi, 2019, katika uwanja wa mpira wa…

Soma Zaidi

Semina ya Neno la Mungu Mkoa wa Arusha, tarehe 30 Januari hadi 03 Februari, 2019 Uwanja wa Reli…


SEMINA YA NENO LA MUNGU MKOA WA ARUSHA: Tunamshukuru Mungu sana kwa ajili ya Semina ya neno la Mungu mkoa wa Arusha, iliyofanyika katika uwanja wa Reli kuanzia tarehe 30 Januari hadi tarehe 03 Februari, 2019. Katika semina hiyo pia kulikuwa na semina maalum ya…

Soma Zaidi

Kongamano la Maombi la Kumi la Kitaifa Dodoma, tarehe 24 hadi 27 Julai 2018, Chuo kikuu cha Dodoma


Kongamano la Maombi la Kumi la Kitaifa Dodoma, tarehe 24 hadi 27 Julai 2018, Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kufika UDOM tar 23 na kuondoka tar 28 Julai.

Soma Zaidi

Ripoti ya Semina ya Dar es Salaam (Feb - March 2013)


Tunamshukuru Mungu kwa kuifanikisha semina hii ya Dar es salaam, tunayo kila sababu ya kumshukuru Mungu sana kwa kutulinda toka tunaianza hadi tunamaliza semina hii. Pia katika semina hii Mungu alijidhihirisha kwa kiwango tofauti hivyo kuifanya semina hii kuwa…

Soma Zaidi