Yohana 21:17 "Yesu akamwambia,"Lisha kondoo zangu"

Habari

Mwl. Christopher Mwakasege

Semina ya Wanaume, inayofanyika leo tarehe 02 Decemba, 2018 Uwanja wa Tanyanyika Packers Kawe…


SEMINA YA WANAUME, UWANJA WA TANGANYIKA PACKES KAWE TAREHE 02 DEC 2018: Leo tunaendelea na semina ya wanaume hapa uwanja wa Tanganyika Packes Kawe. Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya semina ya siku ya jana, vijana wengi walihudhuria na tulikuwa na vipindi vya kumsifu…

Mabadiliko ya semina ya Wanaume Dar
Soma Zaidi

Semina ya vijana, iliyofanyika Dar es salaam katika viwanja vya Tanganyika Parkes Kawe…


SEMINA YA VIJANA, UWANJA WA TANGANYIKA PARKES KAWE TAREHE 30 NOV - 01 DEC 2018: Leo tunaendelea na semina ya vijana hapa uwanja wa Tanganyika Perkas Kawe tuliyoanza jana. Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya semina ya siku ya jana, vijana wengi walihudhuria na tulikuwa…

Soma Zaidi

Kongamano la Maombi la Kumi la Kitaifa Dodoma, tarehe 24 hadi 27 Julai 2018, Chuo kikuu cha Dodoma


Kongamano la Maombi la Kumi la Kitaifa Dodoma, tarehe 24 hadi 27 Julai 2018, Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kufika UDOM tar 23 na kuondoka tar 28 Julai.

Soma Zaidi

Ripoti ya Semina ya Dar es Salaam (Feb - March 2013)


Tunamshukuru Mungu kwa kuifanikisha semina hii ya Dar es salaam, tunayo kila sababu ya kumshukuru Mungu sana kwa kutulinda toka tunaianza hadi tunamaliza semina hii. Pia katika semina hii Mungu alijidhihirisha kwa kiwango tofauti hivyo kuifanya semina hii kuwa…

Soma Zaidi