Yohana 21:17 "Yesu akamwambia,"Lisha kondoo zangu"

Huduma za MANA

Mwl. Christopher Mwakasege

Huduma za MANA

MAOMBI YA KUFUNGUA MWAKA 2019, MKOA WA ARUSHA SIKU YA PILI


MAOMBI YA KUFUNGUA MWAKA -ARUSHA UWANJA WA RELI MWL. CHRISTOPHER MWAKASEGE SOMO:  KWANINI TUYAOMBEE TUNAYOTAKA KUYAFANYA WAKATI TUNAWEZA KUYAFANYA BILA KUYAOMBEA TAREHE:  06 JANUARI 2019 SIKU YA PILI NAMNA YA KUPATA KANDA, CDs & DVDs BONYEZA HAPA…

Soma Zaidi

MAMBI YA KUFUNGUA MWAKA 2019 MKOA WA ARUSHA SIKU YA KWANZA


MAOMBI YA KUFUNGUA MWAKA 2019 - ARUSHA - UWANJA WA RELI MWL.CHRISTOPHER MWAKASEGE SOMO: FAIDA SABA ZA KUMSHUKURU MUNGU. TAREHE  05 JANUARI, 2019 SIKU YA KWANZA NAMBA ZA SADAKA NA MAOMBI ���� https://goo.gl/7XcFiP NAMNA YA KUPATA…

Soma Zaidi

SEMINA YA VIJANA DAR SIKU YA KWANZA


SEMINA YA VIJANA-DAR ES SALAAM. MWL.CHRISTOPHER MWAKASEGE SOMO: UMUHIMU WA KUUNGANISHA AKILI NA NAFASI YA KUTUMIA AKILI HIZO. TAREHE:  30 NOVEMBA, 2018 SIKU YA KWANZA NAMBA ZA SADAKA BONYEZA HAPA ���� https://goo.gl/Z3ozYB NAMNA…

Soma Zaidi

SEMINA YA VIJANA DAR ES SALAAM, DECEMBER 2018


SOMO: UMUHIMU WA KUOMBEA AKILI ILI ZIWE MSAADA KWAKO NA KWA TAIFA

  • January 16, 2019
  • 9
Soma Zaidi

Hongera kwa kuokoka


HONGERA KWA KUOKOKA   UTANGULIZI Karibu kwenye Ufalme wa Mungu Kitabu hiki kimeandikwa kwa ajili yako. Roho Mtakatikfu amekiweka mikononi mwako kwa kusudi muhimu la Mungu ndani ya Kristo. Katika Jina lile lipitalo majina yote jina la Yesu Kristo, Bwana na…

Soma Zaidi

KONGAMANO LA KUMI LA MAOMBI KITAIFA - DODOMA


HUDUMA YA MANA INAYOONGOZWA NA MWL. CHRISTOPHER MWAKASEGE INAKUTANGAZIA KUWEPO KWA KONGAMANO LA MAOMBI YA KITAIFA. WAPI: UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM). LINI: TAREHE 24 – 27 JULY 2018. KINA NANI WANAHUSIKA: KILA MKRISTO MWOMBAJI TOKA KATIKA KILA KANISA ATAKAYEKUWA…

Soma Zaidi

Israeli Pamoja Nasi


Mwaka 2007 mwezi wa Desemba, tukiwa nchini Israel, Mungu alisema nasi juu ya kuwahimiza watu wake wajiunganishe na nchi ya Israel Kibiblia. Na kwa kufanya hivyo watakuwa wanaibariki nchi ya Israel, kama sehemu ya maagizo ambayo Mungu amewapa watu wake ulimwengu…

Soma Zaidi

Vipindi ya Redio


Karibu kufuatilia vipindi vya redio kupitia redio mbali mbali kwenye nchi hii, kama ifuatavyo, kila siku ya jumamosi na jumapili kuanzia saa tatu usiku hadi saa nne kamili usiku, kupitia redio 1. Sauti ya injili (Moshi – Kilimanjaro), 2. Upendo (Dar es salaam),…

Soma Zaidi

Sala ya Toba


Inawezekana kabisa ya kuwa wewe unayesoma ujumbe huu hujaokoka - yaani hujampokea Yesu Kristo ndani ya moyo wako kama Bwana na Mwokozi wako. Lakini sasa umeona umuhimu wa kumpokea Yesu Kristo katika maisha yako.

Soma Zaidi

Uweza wa Jina la Yesu


Mtume Paulo anasema katika Waraka wake kwa Wakolosai sura ya tatu na mstari wa kumi na saba kuwa; “Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika JINA LA BWANA YESU, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye.” Hii ina maana ya kuwa, tukila tule…

Soma Zaidi