HUDUMA ZA MANA

Lengo kuu la Huduma hii ni kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote.

Fahamu zaidi...
 
 


    Vipindi vya Redio

Ili kulileta Neno la Mungu karibu na wewe zaidi, Huduma ya Mana inaandaa na kurusha baadhi ya mafundisho ya Neno la Mungu kwa njia ya redio kadhaa hapa nchini Tanzania.

Ili kufahamu zaidi redio hizo na siku na saa ya vipindi vyetu, bonyeza hapa.

     

 UNAWEZA KUTUMA MCHANGO WAKO KUCHANGIA KONGAMANO LA MAOMBI LA KITAIFA MWAKA 2017 KWA KUTUMIA NJIA ZIFUATAZO.

 1. NJIA YA M - PESA TUMIA NAMBA
 0756-899368.

 2. KWA NJIA YA TIGO PESA TUMIA NAMBA
   0717-304086.  

 3. PIA UNAWEZA KUCHANGIA KWA KUTUMIA ACCOUNT   ZIFUATAZO;

CRDB BANK ACCOUNT NAMBA - 01J2035480802
 JINA: CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE.

NA

NMB BANK ACCOUNT NAMBA - 4081617495
 JINA: DIANA CHRISTOPHER MWAKASEGE.

   


    Changia Huduma

Karibu ushirikiane nasi katika kuchangia gharama za uendeshaji wa semina na Huduma nyingine tunazofanya maeneo mbalimbali. Tafadhali bonyeza hapa ili kufahamu jinsi ya kuchangia.

 


Tazama/Sikiliza Mahubiri

Mitandao ya Kijamii

Sasa unaweza kusikiliza mafundisho ya Neno la Mungu moja kwa moja kupitia redio pamoja na internet. Ili kusikiliza mafundisho bonyeza hapa.

 
 


Fahamu zaidi

 
 
  Ibariki Israeli Pamoja Nasi Habari za Huduma Mafundisho ya neno la Mungu  
Sasa unaweza kutembelea taifa la Israeli kwa mafunzo ya kiroho pamoja nasi mara nne kwa mwaka. Kufahamu zaidi kuhusu huduma ya Israeli,
Bonyeza Hapa.
Karibu ufuatilie habari ,matukio na mabadiliko mbalimbali  yanayohusu huduma ya MANA pamoja na watendajikazi katika huduma.
Bonyeza Hapa kwa maelezo zaidi
Karibu ujisomee mafundisho ya Neno la Mungu katika tovuti hii sasa.
Bonyeza hapa
 
 
|Home|  |Kuhusu MANA|    |Nunua|      |Mafundisho|     |Maombi|     |Ratiba|   |Shuhuda|   |Barua Za Mwezi|   |Israel|

Haki zote zimehifadhiwa Huduma Ya MANA TANZANIA.