|
|
| ||
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Karibu katika mafundisho haya ya Mkristo na Uchumi ili ujifunze mambo ya msingi katika uchumi kwako kama mkristo.Tunaamini ni mpango wa Mungu tufanikikiwe kiuchumi kama wakristo binafsi na taifa letu kwa ujumla hivyo usikose kufungua kurasa hizi mara kwa mara ili kujifunza m,ambo mbalimbali ya kiuchumi tutakayokuwa tukikuletea katika kurasa hizi za Mkristo na Uchumi. |
|