HUDUMA ZA MANA

Lengo kuu la Huduma hii ni kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote.

Fahamu zaidi...
 
 
 


    Vipindi vya Redio

Ili kulileta Neno la Mungu karibu na wewe zaidi, Huduma ya Mana inaandaa na kurusha baadhi ya mafundisho ya Neno la Mungu kwa njia ya redio kadhaa hapa nchini Tanzania.

Ili kufahamu zaidi redio hizo na siku na saa ya vipindi vyetu, bonyeza hapa.

   
Ukurasa huu wa maombi umegawanyika katika maeneo makubwa matatu:-

1. Maombi kwa ajili ya watu wenye shida na mahitaji mbalimbali - kama vile magonjwa, kazi, kuoa au kuolewa.
Jaza fomu hapo chini ili uweze kututumia mahitaji yako ya maombi.


2. Maombi kwa ajili yetu - Kama wewe ni mwombaji na Mungu amekupa mzigo wa kutuombea sisi na huduma yetu jaza fomu hapo chini ambayo itakuwezesha kuwasiliana nasi kwa ajili ya mambo ambayo tungependa uyaombee. Hali kadhalika kama ungependa kushiriki pamoja na ndugu wengine wenye huduma ya maombi kwa ajili ya kuwaombea watu wenye shida na mahitaji mbalimbali pia jaza fomu hapa chini.

3. Maombi ya Nchi - Kama wewe una mzigo kwa ajili ya kuombea nchi hii ya Tanzania ungana nasi kwa ajili ya maombi ya kuombea nchi kwa kujaza fomu hapa chini.

   


    Changia Huduma

Karibu ushirikiane nasi katika kuchangia gharama za uendeshaji wa semina na Huduma nyingine tunazofanya maeneo mbalimbali. Tafadhali bonyeza hapa ili kufahamu jinsi ya kuchangia.


Mitandao ya Kijamii


Tazama/Sikiliza Mahubiri

Sasa unaweza kusikiliza mafundisho ya Neno la Mungu moja kwa moja kupitia redio pamoja na internet. Ili kusikiliza mafundisho bonyeza hapa.


Andika Jina lako kamili:
*

Namba ya simu

Barua Pepe
*

Eneo la Maombi
*

Andika maombi
*

 

 

Fahamu zaidi

 
 

Ibariki Israeli Pamoja Nasi

Habari za Huduma

Mafundisho ya neno la Mungu

  Sasa unaweza kutembelea taifa la Israeli kwa mafunzo ya kiroho pamoja nasi mara nne kwa mwaka. Kufahamu zaidi kuhusu huduma ya Israeli,
Bonyeza Hapa.
  Karibu ufuatilie habari ,matukio na mabadiliko mbalimbali  yanayohusu huduma ya MANA pamoja na watendajikazi katika huduma. Bonyeza Hapa kwa maelezo zaidi   Karibu ujisomee mafundisho ya Neno la Mungu katika tovuti hii sasa.
Bonyeza hapa
 
|Home|  |Kuhusu MANA|    |Nunua|      |Mafundisho|     |Maombi|     |Ratiba|   |Shuhuda|   |Barua Za Mwezi|   |Israel|Picha

Haki zote zimehifadhiwa Huduma Ya MANA TANZANIA.