Yesu Akamwambia "Lisha Kondoo Zangu" (Yohana 21:17)
Home
Maombi
Ratiba
Shuhuda
Mafundisho
Maswali na Majibu
Barua za Mwezi
Kuchangia Huduma
MAOMBI NA MAOMBEZI - CHUKUA HATUA


MAOMBI

Chukua Hatua Ya Imani Pamoja Nasi Kwa Ajili Ya Muujiza Wako!

Hakuna jambo lisilowezekana pale unapoweka imani yako kwa Mungu

Tafadhali jaza fomu hii, kwanza kwa kuchagua aina ya maombi unayohitaji kufanyiwa au kuyafanya na kisha bonyeza kitufe kilichoandikwa Tuma Maombi ili tuweze kushirikiana nawe katika maombi

a. Kama unahitaji maombi kwa ajili ya mahitaji yako mbali mbali, basi anza maelezo yako kwa kusema hivyo na andika maombi yako kwenye nafasi iliyopo kwenye kisanduku. Unaweza pia kutuma mahitaji yako kwa wana maombi wengine kwa kubonyeza HAPA.

b. Kama una mzigo wa kuwaombea Christopher na Diana Mwakasege pamoja na huduma yao bonyeza HAPA. Unaweza pia kushiriki katika kuwaombea ndugu wengine wenye mahitaji kwa kubonyeza HAPA.

c. Kama una mzigo wa kuombea Nchi basi bonyeza HAPA kwa maelekezo.

Maombi yako yatatumwa kwetu na kwa kuwa umeandika anwani yako, umekwisha kuingia kwenye orodha yetu ya watu watakaokuwa wakipokea barua na habari zingine mara kwa mara.

Jina Lako:
E-Mail:
Website:
Mji: , Mkoa: Nchi:

Maelezo:

*

 

UNATAKA KUOKOKA?
Kama unataka kumpa YESU maisha yako sasa, bonyeza hapa
©2003 Tanzania Social and Economic Trust.  All Rights Reserved.