|
Ukurasa huu wa maombi
umegawanyika katika maeneo makubwa matatu:
1.
Maombi
kwa ajili ya watu - wenye shida
na mahitaji mbalimbali - kama vile magonjwa, kazi, kuoa au kuolewa.
kwa hiyo kama wewe unahitaji kuombewa katika jambo lolote lile
BONYEZA HAPA ili uweze kututumia
mahitaji yako ya maombi. Aidha unaweza pia kutuma mahitaji yako
kwa ndugu wengi zaidi wenye huduma ya maombezi kwa kubonyeza
HAPA.
2.
Maombi kwa ajili yetu - Kama wewe ni mwombaji
na Mungu amekupa mzigo wa kutuombea sisi na huduma yetu
BONYEZA HAPA ili
uweze kujaza fomu ambayo itakuwezesha kuwasiliana nasi kwa ajili
ya mambo ambayo tungependa uyaombee. Hali kadhalika kama ungependa
kushiriki pamoja na ndugu wengine wenye huduma ya maombi kwa ajili
ya kuwaombea watu wenye shida na mahitaji mbalimbali bonyeza
HAPA.
3.
Maombi ya Nchi -
Kama wewe una mzigo kwa ajili ya kuombea nchi hii ya
Tanzania ungana nasi kwa ajili ya maombi ya
kuombea nchi kwa KUBONYEZA HAPA
Zijue
Karama za Roho Mtakatifu,
Bonyeza
Hapa
|