|
|
| ||
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Ndugu katika Kristo, Naamini kuwa umefungua ukurasa huu kwa sababu una mahitaji au shida inayohitaji kuombewa na unaamini kabisa bila shaka moyoni mwako kuwa ukiombewa utapokea. Tunakukaribisha utume ujumbe katika Mailing List ya maombezi itakayowezesha ndugu kadhaa wenye huduma ya maombezi kuweza kukuombea. Mailing List ni mtandao wa mawasiliano kupitia barua pepe yaani email. Namna ya kutuma mahitaji
yako ya maombezi:
1. Tuma email kwa "maombi@kicheko.com" 2. Katika sehemu ya subject andika "Naomba Kuombewa" 3. Sehemu ya ujumbe andika mahitaji yako. 4. Halafu itume. Komputa
itatuma ujumbe wako kwa watu wote wenye huduma ya maombezi ambao wamejisajili
na Mailing List hii nao watakuombea sawasawa na mahitaji yako.Huduma hii ni ya bure yaani hakuna malipo. Mungu akubariki sana. |
|