HUDUMA ZA MANA

Lengo kuu la Huduma hii ni kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote.

Fahamu zaidi...
 
 


    Vipindi vya Redio

Ili kulileta Neno la Mungu karibu na wewe zaidi, Huduma ya Mana inaandaa na kurusha baadhi ya mafundisho ya Neno la Mungu kwa njia ya redio kadhaa hapa nchini Tanzania.

Ili kufahamu zaidi redio hizo na siku na saa ya vipindi vyetu, bonyeza hapa.

   

RATIBA YA SEMINA ZETU -2013

   


    Changia Huduma

Karibu ushirikiane nasi katika kuchangia gharama za uendeshaji wa semina na Huduma nyingine tunazofanya maeneo mbalimbali. Tafadhali bonyeza hapa ili kufahamu jinsi ya kuchangia.

 

TAREHE

 

MAHALI

WAHUSIKA

 

MAONI27 Jan, 2013
 

Dar es salaam 
Ukumbi wa Diamond Jubilee
Kuanzia saa 8 mchana hadi saa  12 Jioni


Watu wote.
Kupanda na kuvuna
   


3 - 10 Feb 2013

Arusha Mjini
Uwanja wa Reli
Kila siku kuanzia saa 9 mchana hadi 12 na nusu jioni

Semina: Watu wote  
   


Tazama/Sikiliza Mahubiri

Sasa unaweza kusikiliza mafundisho ya Neno la Mungu moja kwa moja kupitia redio pamoja na internet. Ili kusikiliza mafundisho bonyeza hapa.


9 Feb 2013

Arusha Mjini
Uwanja wa Reli
Kuanzia saa 3 asubuhi hadi 6 mchana.

Semina: Vijana wote na wanavyuo wote  
Mitandao ya Kijamii
   


13 - 17 Feb 2013

 

MOSHI MJINI:
Uwanja wa Mashujaa Kila Siku kuanzia saa 9 mchana hadi saa 12 jioni.

Semina:
Watu Wote
   
   


Fahamu zaidi


16 Feb 2013
 

MOSHI MJINI
Uwanja wa Mashujaa
Kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 6 mchana.

Semina: Vijana Wote na Wanavyuo wote.    
     
 
 


24 FEB - 3 MACHI 2013

 

Dar es salaam
Uwanja wa Jangwani
Kila siku kuanzia saa 9 mchana hadi saa 12 jioni

Semina: Watu Wote.    
     
               

 Endelea >>>

Ibariki Israeli Pamoja Nasi

Habari za Huduma

Mafundisho ya neno la Mungu

Sasa unaweza kutembelea taifa la Israeli kwa mafunzo ya kiroho pamoja nasi mara nne kwa mwaka. Kufahamu zaidi kuhusu huduma ya Israeli,
Bonyeza Hapa.
Karibu ufuatilie habari ,matukio na mabadiliko mbalimbali  yanayohusu huduma ya MANA pamoja na watendajikazi katika huduma.
Bonyeza Hapa kwa maelezo zaidi
Karibu ujisomee mafundisho ya Neno la Mungu katika tovuti hii sasa.
Bonyeza hapa
 
|Home|  |Kuhusu MANA|    |Nunua|      |Mafundisho|     |Maombi|     |Ratiba|   |Shuhuda|   |Barua Za Mwezi|   |Israel| Picha

Haki zote zimehifadhiwa Huduma Ya MANA TANZANIA.