Yesu Akamwambia "Lisha Kondoo Zangu" (Yohana 21:17)
Home
Maombi
Ratiba
Shuhuda
Mafundisho
Maswali na Majibu
Barua za Mwezi
Kuchangia Huduma
RATIBA YA SEMINA 2007


 
RATIBA YA SEMINA 2007

TAREHE

MAHALI

WAHUSIKA

MAELEZO


13 Januari 2007

Ukumbi wa Diamond Jubilee saa 9 mchana
Dar es Salaam


Vijana


Imeshafanyika


14 Januari 2007

Ukumbi wa Diamond Jubilee saa 9 mchana
Dar es Salaam


Watu Wote


Imeshafanyika


20 Januari 2007

Uwanja wa Mpira wa Sheikh Amri Abeid saa 8 mchana
Arusha Mjini


Watu Wote


Imeshafanyika


18-25 Februari 2007

Uwanja wa Reli
Kila siku saa 9 mchana
Arusha Mjini


Watu Wote


Imeshafanyika

3 Machi 2007

Dar es Salaam
Wazee wa Kanisa KKKT - Dayosis ya Mashariki na Pwani
Imeshafanyika

4 - 11 Machi 2007
Uwanja wa Biafra (Kinondoni)
Kila siku saa 9 mchana
Dar es Salaam

Watu Wote

Imeshafanyika
18 Machi 2007 Chuo Kikuu - Mzumbe
Morogoro
Wana-Chuo Imeshafanyika

21 - 25 Machi 2007
Uwanja wa Tangamano
Kila siku saa 9 mchana
Tanga Mjini

Watu Wote

Imeshafanyika
29 - 30 Machi 2007 Capricon Hotel
Marangu
Wafanyakazi wa Compassion Imeshafanyika

6 Aprili 2007
Kongowe/Mbagala
Dar es Salaam
Semina ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu - TAFES
Imeshafanyika
8 Aprili 2007 KKKT - Usharika wa Mbezi Beach
Dar es Salaam
Washarika Imeshafanyika
26 Aprili 2007 KKKT - Azania Front Vikundi vya Huduma na Wazee wa Kanisa Imeshafanyika
30 Aprili - 9 Mei 2007 Israel Waliojiandikisha Imeshafanyika
15 - 18 Mei 2007 Morogoro CCT Maaskofu 32 wa makanisa mbalimbali nchini Imeshafanyika
1 - 3 Juni 2007 Georgia, Atlanta
U.S.A
Watanzania
13 - 17 Juni 2007 Dodoma Watu Wote Imeshafanyika
20 - 24 Juni 2007 Kigoma Watu Wote Imeshafanyika
4 - 8 Julai 2007 Shinyanga Watu Wote Imeshafanyika

12 - 15 Julai 2007

Mtwara
Watumishi na Wazee wa Kanisa -
Kanisa la Biblia

Imeshafanyika
18 - 22 Julai 2007 Mwanza Watu Wote Imeshafanyika
26 - 29 Julai 2007 Tabora Watu Wote Imeshafanyika
3 - 5 Agosti 2007 London U.K. Watanzania Imeshafanyika
12 - 19 Agosti 2007 Arusha Mjini Watu Wote Imeshafanyika
30 Agosti - 2 Sept 2007 Marangu Watu Wote  
6 Oktoba 2007 Chuo Kikuu, Dar es Salaam Vyuo Vikuu  
7 - 14 Oktoba 2007 Dar es Salaam Watu Wote  
22 - 23 Oktoba 2007 Kanisa la Moravian - Tukuyu Wachungaji, Wainjilisti na Waalimu  
24 - 28 Oktoba 2007 Tukuyu Watu Wote  
1 - 4 Novemba 2007 Iringa Watu Wote  
8 - 11 Novemba 2007 Kilombero/Ruaha Watu Wote  
13 - 14 Novemba 2007 Morogoro Mjini  Waombaji 
(Vikundi vya Maombi)
 
8 - 17 Desemba 2007 Israeli Waliojiandikisha  

"Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa Bwana kama maji yaifunikavyo bahari" (Habakuki 2:14)

NB:
1. Kukiwa na mabadiliko - tutabadilisha ratiba.
2. Usisahau kutuombea ili semina hizi zifanikiwe katika kuujenga ufalme wa Mungu na ziweze kumletea Bwana Yesu Utukufu.
3. Ukitaka kutoa sadaka yako kwa ajili ya kugharamia wasiliana nasi kwa simu namba 027-250 4289 au andika kwa kutumia P.O. Box 2166 Arusha au kwa email: tasoet@nexusdigital .co.tz

Email Address: tasoet@nexusdigital.co.tz

Bonyeza HAPA kwenda kwenye ukurasa wa Ripoti za Semina

UNATAKA KUOKOKA?
Kama unataka kumpa YESU maisha yako sasa, bonyeza hapa
©2003 Tanzania Social and Economic Trust.  All Rights Reserved.