Yesu Akamwambia "Lisha Kondoo Zangu" (Yohana 21:17)
Home
Maombi
Ratiba
Shuhuda
Mafundisho
Maswali na Majibu
Barua za Mwezi
Kuchangia Huduma
RATIBA YA SEMINA 2008


 
RATIBA YA SEMINA 2008

TAREHE

MAHALI

WAHUSIKA

MAELEZO

3 Januari 2008

Arusha

Timu ya MANA na watoto wao

Imeshafanyika

5 Januari 2008

Arusha (Ukumbi wa Metropole)

Waombaji

Imeshafanyika

9-12 Januari 2008

Mbeya (Ukumbi wa St Marys School)

Maaskofu/Wachungaji na Viongozi wa huduma

Imeshafanyika

13 Januari 2008

Tukuyu

Ibada - Kanisa la Moravian Tukuyu

Imeshafanyika
19 Januari 2008 (Asubuhi) Dar es Salaam - Kariakoo KKKT Waombaji Imeshafanyika
19 Januari 2008 (Mchana) Dar es Salaam - Courtyard Hotel Wafanyakazi wa Exim Bank Imeshafanyika
20 Januari 2008 Dar es Salaam (Diamond Jubilee Hall) Kufungua Mwaka - Watu Wote Imeshafanyika

26 Januari 2008

Mwanza
Kamati za maandalizi za Mwanza, Tabora na Shinyanga
Imeshafanyika
27 Januari 2008 Mwanza - KKKT Imani Wafanya Biashara Imeshafanyika
2 Februari 2008 Arusha (Ukumbi wa Metropole) Waombaji Imeshafanyika
6-17 Februari 2008 Arusha
Uwanja wa Reli kila siku kuanzia saa 9
Watu Wote Imeshafanyika
1 Machi 2008 Shinyanga Waombaji Imeshafanyika
2 Machi 2008 Mwanza Waombaji Imeshafanyika
6-16 Machi 2008 Dar es Salaam
Uwanja wa Biafra - Kinondoni
Watu Wote Imeshafanyika
8 Machi 2008 Dar es Salaam
Uwanja wa Biafra - Kinondoni
Waombaji Imeshafanyika
29-30 Machi 2008 Tabora Mjini Waombaji Imeshafanyika
25 Apr-4 Mei 2008 Israeli Waliojiandikisha Imeshafanyika
6-11 Mei 2008 Tanga Mjini Watu Wote Imeshafanyika
13-17 Mei 2008 Dodoma Mjini Maaskofu wa Makanisa mbalimbali nchini Imeshafanyika
5-8 Juni 2008 Morogoro Mjini Watu Wote Imeshafanyika
12-13 Juni 2008 Masasi Viongozi wa Kanisa Imeshafanyika
15-22 Juni 2008 Dodoma Mjini Watu Wote Imeshafanyika
29 Juni - 6 Julai 2008 Mwanza Mjini Watu Wote Imeshafanyika
10-20 Julai 2008 Shinyanga Mjini Watu Wote Imeshafanyika
23-27 Julai 2008 Tabora Mjini Watu Wote Imeshafanyika
8-10 Agosti 2008 London, Uingereza Watanzania/Wakenya Imeshafanyika
17-24 Agosti 2008 Arusha - Kiwanja cha Reli Watu Wote Imeshafanyika
13-14 Septemba 2008 Marekani Watanzania Imeshafanyika
28 Septemba 2008 Agape Seminari Wanafunzi na Walimu  
5 Oktoba 2008 Kijenge Lutheran Washarika  
12-19 Oktoba 2008 Dar es Salaam
 Uwanja wa Biafra - Kinondoni
Watu Wote  
25 Okt - 3 Nov 2008 Israel (second timers) Ziara ya Maombi Waliojiandikisha  
5 Novemba 2008 Tukuyu Waombaji  
6-9 Novemba 2008 Mbeya Mjini Watu Wote  
11 Novemba 2008 Iringa  Waombaji  
13-16 Novemba 2008 Kilombero Watu Wote  
29 Nov - 6 Des 2008 Israel (First Timers)  Waliojiandikisha  
14-21 Desemba 2008 Honey Moon - Israel  Wana - ndoa
Waliojiandikisha
 
       

"Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa Bwana kama maji yaifunikavyo bahari" (Habakuki 2:14)

NB:
1. Kukiwa na mabadiliko - tutabadilisha ratiba.
2. Usisahau kutuombea ili semina hizi zifanikiwe katika kuujenga ufalme wa Mungu na ziweze kumletea Bwana Yesu Utukufu.
3. Ukitaka kutoa sadaka yako kwa ajili ya kugharamia wasiliana nasi kwa simu namba 027-250 4289 au andika kwa kutumia P.O. Box 2166 Arusha au kwa email: tasoet@nexusdigital .co.tz

Email Address: tasoet@nexusdigital.co.tz

Bonyeza HAPA kwenda kwenye ukurasa wa Ripoti za Semina

UNATAKA KUOKOKA?
Kama unataka kumpa YESU maisha yako sasa, bonyeza hapa
©2003 Tanzania Social and Economic Trust.  All Rights Reserved.