|
"Kwa
maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa Bwana kama maji yaifunikavyo
bahari" (Habakuki 2:14)
NB:
1. Kukiwa na mabadiliko - tutabadilisha ratiba.
2. Usisahau kutuombea ili semina hizi zifanikiwe katika kuujenga
ufalme wa Mungu na ziweze kumletea Bwana Yesu Utukufu.
3. Ukitaka kutoa sadaka yako kwa ajili ya kugharamia wasiliana
nasi kwa simu namba 027-250 4289 au andika kwa kutumia P.O. Box
2166 Arusha au kwa email: tasoet@nexusdigital .co.tz
|