HUDUMA ZA MANA

Lengo kuu la Huduma hii ni kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote.

Fahamu zaidi...
 
 


    Vipindi vya Redio

Ili kulileta Neno la Mungu karibu na wewe zaidi, Huduma ya Mana inaandaa na kurusha baadhi ya mafundisho ya Neno la Mungu kwa njia ya redio kadhaa hapa nchini Tanzania.

Ili kufahamu zaidi redio hizo na siku na saa ya vipindi vyetu, bonyeza hapa.

   

RATIBA YA SEMINA ZETU -2017

   


    Changia Huduma

Karibu ushirikiane nasi katika kuchangia gharama za uendeshaji wa semina na Huduma nyingine tunazofanya maeneo mbalimbali. Tafadhali bonyeza hapa ili kufahamu jinsi ya kuchangia.

 

TAREHE

MAHALI

TUKIO/WAHUSIKA


6 - 8 Januari 2017


MOSHI UHURU HOSTEL

KAMATI ZA MAANDALIZI NA WARATIBU WA MAOMBI


15 - 22 Januari 2017

Arusha Mjini
Uwanja wa Reli
Kila siku kuanzia saa 9 mchana hadi 12 na nusu jioni


Semina
:
Watu wote


Tazama/Sikiliza Mahubiri


29 Januari 2017

Dar es salaam
Ukumbi wa Diamond Jubilee
Kuanzia saa 7 mchana hadi saa 12 jioni

Semina ya kupanda ya kuvuna: Watu  wote

Sasa unaweza kusikiliza mafundisho ya Neno la Mungu moja kwa moja kupitia redio pamoja na internet. Ili kusikiliza mafundisho bonyeza hapa.

Mitandao ya Kijamii

3 - 5 Februari 2017

MAREKANI (USA)
WASHINGTON D.C

Semina:
Watu Wote


19 - 26 Februari 2017

MOSHI MJINI:
Uwanja wa Majengo Sekondari.

Semina:
Watu Wote
       


Fahamu zaidi


5 - 12 Machi 2017

DAR ES SALAAM:
Uwanja wa Tanganyika Perkas Kawe.

Semina:
Watu wote
 

2 - 9 April 2017

DODOMA MJINI:
Uwanja wa Barafu

Semina:
Watu wote
 
 


01 - 10 Mei 2017

Israeli:
Safari ya Kimafunzo

AKINA MAMA WATAKAOJIANDIKISHA.
 

                                               
                                                 ENDELEA KUSOMA >>>

Ibariki Israeli Pamoja Nasi

Habari za Huduma

Mafundisho ya neno la Mungu

Sasa unaweza kutembelea taifa la Israeli kwa mafunzo ya kiroho pamoja nasi mara nne kwa mwaka. Kufahamu zaidi kuhusu huduma ya Israeli,
Bonyeza Hapa.
Karibu ufuatilie habari ,matukio na mabadiliko mbalimbali  yanayohusu huduma ya MANA pamoja na watendajikazi katika huduma.
Bonyeza Hapa kwa maelezo zaidi
Karibu ujisomee mafundisho ya Neno la Mungu katika tovuti hii sasa.
Bonyeza hapa
 
|Home|  |Kuhusu MANA|    |Nunua|      |Mafundisho|     |Maombi|     |Ratiba|   |Shuhuda|   |Barua Za Mwezi|   |Israel| Picha

Haki zote zimehifadhiwa Huduma Ya MANA TANZANIA.