|
Mpendwa Msomaji,
Bwana Yesu Asifiwe!
Tunakushukuru kwa kuchukua hatua ya kuamua kujifunza Neno la
Mungu pamoja nasi ili uweze kukua Kiroho. Hapo chini kuna orodha
ya masomo tuliyofundisha maalum kwa ajili ya vijana katika sehemu mbalimbali kwa kadri Mungu
alivyotuongoza hivyo bonyeza kichwa cha somo ulichokipenda
ili nawe ushiriki tulichojifunza
Mafundisho
ya Vijana katika mfululizo kila wiki:
- Mambo ya kutafakari kabla ya
kufanya uamuzi wa kuoa au kuolewa
- Utangulizi, wiki ya
1,
2, 3,
4,
5, 6,
7,
8, 9,
10 na
11. -
Masomo
haya pamoja na mengine mengi unaweza pia kuyapata katika kanda
za Video na za Redio Kaseti kwa kuagiza moja kwa moja
kutoka ofisini kwetu Arusha au kwa wakala walioko karibu
na eneo ulipo. Ili kupata maelezo zaidi kuhusu kanda za Redio
Kaseti bonyeza HAPA.
Maelezo kuhusu kanda za video yanapatikana kwa kubonyeza HAPA.
|