Yohana 21:17 "Yesu akamwambia,"Lisha kondoo zangu"

Habari

Mwl. Christopher Mwakasege

Habari

Semina ya Neno la Mungu Uingereza (U.K), tarehe 23 hadi 25 Augusti, 2019


Tutakuwa na Semina ya Neno la Mungu hapa Uingereza, kuanzia leo Ijumaa tarehe 23 hadi 25, August 2019. Semina hii itafanyika  "Landau Forte College, Derby, DE 2LF". Kwa mawasiliano zaidi kuhusu semina hii wasiliana na hawa wafuatao, Mchungaji Cleopa J. Mushi…

Soma Zaidi

Semina ya Neno la Mungu Shinyanga Mjini, tarehe 14 hadi 18 August 2019, Ngokolo (Mitumbani)...


Tunamshukuru Mungu kwa semina ya Neno la Mungu Shinyanga, iliyofanyika katika viwanja vya Ngokolo (Mitumbani).

Mch.Mwl. Christopher Mwakasege
Soma Zaidi

Kongamano la Maombi la Kumi na moja, tarehe 23 hadi 26 Julai 2019, Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM)


Tunamshukuru Mungu kwa mwaka huu, kuanzia tarehe 23 hadi 26 July 2019 tumekuwa na Kongamano la maombi la Kitaifa, lililofanyika katika chuo kikuu cha UDOM. Katika Kongamano hili kama yalivyokuwa Makongamano mengine yaliyotangulia, tulipata nafasi ya kuwa na waombaji…

Soma Zaidi

Ripoti ya Semina ya Dar es Salaam (Feb - March 2013)


Tunamshukuru Mungu kwa kuifanikisha semina hii ya Dar es salaam, tunayo kila sababu ya kumshukuru Mungu sana kwa kutulinda toka tunaianza hadi tunamaliza semina hii. Pia katika semina hii Mungu alijidhihirisha kwa kiwango tofauti hivyo kuifanya semina hii kuwa…

Soma Zaidi

Mwl Christopher Mwakasege atoa Shuhuda juu ya kifo Fanuel Sedekia


Mwalimu Christopher Mwakasege ametoa ushuhuda huo katika semina inayoendelea sasa katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza Semina hiyo yenye somo linaloitwa namna ambavyo Roho Mtakatifu awezavyo kukusaidia ili upokee kile unachokiomba imeanza tar 19-07-2011 na…

Mwalimu Christopher Mwakasege
Soma Zaidi