Yohana 21:17 "Yesu akamwambia,"Lisha kondoo zangu"

Habari

Mwl. Christopher Mwakasege

Semina ya Neno la Mungu ya Wanaume, Dar es salaam tarehe 02 - 03 Novemba, 2019 Kawe…


Tunamshukuru Mungu tunaendelea na semina ya neno la Mungu hapa Dar es salaam Kawe, semina hii imeanza leo Jumamosi tarehe 02 itaendelea hadi jumapili tarehe 03 Novemba 2019, hapa Dar es salaam uwanja wa Tanganyika Peckas Kawe. Tunajifunza somo lenye kichwa kinachosema…

Soma Zaidi

Semina ya Neno la Mungu Iringa, tarehe 23 hadi 27 October 2019, Uwanja wa Gangilonga Shule ya msi…


Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya semina ya neno la Mungu Iringa, semina hii ilianza Jumatano tarehe 23 itaendelea hadi jumapili tarehe 27 Octoba 2019, Iringa uwanja wa shule ya Msingi Gangilonga. Tulijifunza somo lenye kichwa kinachosema "NENA KWA LUGHA UACHILIE…

Soma Zaidi

Kongamano la Maombi la Kumi na moja, tarehe 23 hadi 26 Julai 2019, Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM)


Tunamshukuru Mungu kwa mwaka huu, kuanzia tarehe 23 hadi 26 July 2019 tumekuwa na Kongamano la maombi la Kitaifa, lililofanyika katika chuo kikuu cha UDOM. Katika Kongamano hili kama yalivyokuwa Makongamano mengine yaliyotangulia, tulipata nafasi ya kuwa na waombaji…

Soma Zaidi

Ripoti ya Semina ya Dar es Salaam (Feb - March 2013)


Tunamshukuru Mungu kwa kuifanikisha semina hii ya Dar es salaam, tunayo kila sababu ya kumshukuru Mungu sana kwa kutulinda toka tunaianza hadi tunamaliza semina hii. Pia katika semina hii Mungu alijidhihirisha kwa kiwango tofauti hivyo kuifanya semina hii kuwa…

Soma Zaidi