Yohana 21:17 "Yesu akamwambia,"Lisha kondoo zangu"

Habari

Mwl. Christopher Mwakasege

Semina ya Neno la Mungu Arusha, tarehe 08 hadi 15 Septemba, 2019 Uwanja wa Reli…


Leo tunaanza semina ya Neno la Mungu hapa Arusha mjini uwanja wa Reli, semina hii itaendelea hadi siku ya jumapili tarehe 15 Septemba, 2019. Tunawakaribisha watu wote, wagonjwa na wenye shida mbali mbali wataombewa kwa jina la Yesu Kristo na Yesu atawaponya. Unaweza…

Soma Zaidi

Semina ya Neno la Mungu Shinyanga Mjini, tarehe 14 hadi 18 August 2019, Ngokolo (Mitumbani)...


Tunamshukuru Mungu kwa semina ya Neno la Mungu Shinyanga, iliyofanyika katika viwanja vya Ngokolo (Mitumbani).

Mch.Mwl. Christopher Mwakasege
Soma Zaidi

Kongamano la Maombi la Kumi na moja, tarehe 23 hadi 26 Julai 2019, Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM)


Tunamshukuru Mungu kwa mwaka huu, kuanzia tarehe 23 hadi 26 July 2019 tumekuwa na Kongamano la maombi la Kitaifa, lililofanyika katika chuo kikuu cha UDOM. Katika Kongamano hili kama yalivyokuwa Makongamano mengine yaliyotangulia, tulipata nafasi ya kuwa na waombaji…

Soma Zaidi

Ripoti ya Semina ya Dar es Salaam (Feb - March 2013)


Tunamshukuru Mungu kwa kuifanikisha semina hii ya Dar es salaam, tunayo kila sababu ya kumshukuru Mungu sana kwa kutulinda toka tunaianza hadi tunamaliza semina hii. Pia katika semina hii Mungu alijidhihirisha kwa kiwango tofauti hivyo kuifanya semina hii kuwa…

Soma Zaidi