Leo tunaanza semina ya Neno la Mungu hapa Arusha mjini uwanja wa Reli, semina hii itaendelea hadi siku ya jumapili tarehe 15 Septemba, 2019. Tunawakaribisha watu wote, wagonjwa na wenye shida mbali mbali wataombewa kwa jina la Yesu Kristo na Yesu atawaponya.

Unaweza kufuatilia semina hii kwa njia zifuatazo

��KWA NJIA YA TELEVISHENI��

1. MILLAN CABLE TELEVISION - ARUSHA
Kwa DECODER ya MILLAN, DECODER MPYA CHANNEL No. 4 NA DECODER YA ZAMANI CHANNEL No. 39.
 
2. UPENDO TELEVISION - DAR ES SALAAM
INAPATIKANA KUPITIA KING’AMUZI CHA STARTIMES CHANNEL No. 459 KWA WANAOTUMIA ANTENA, NA CHANNEL No. 548 KWA WANAOTUMIA DISH.
WATARUSHA TAREHE 13 NA 14 SEPT, 2019. (SIKU YA IJUMAA NA JUMAMOSI).

�� REDIO ZITAKAZORUSHA SEMINA HII KUTOKA UWANJA NI HIZI ZIFUATAZO: ��

1. REDIO BUNDA FM
Frequency – 92.1 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Mara,
➖ Simiyu,
➖ Kagera (Maeneo ya Chato) na
➖ Mwanza (Isipokuwa Mwanza Mjini).

2. REDIO MPANDA FM
Frequency – 97.0 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Katavi,
➖ Rukwa,
➖ Tabora (Sikonge) na
➖ Kigoma (Uvinza).

3. REDIO BARAKA FM - MBEYA
Frequency – 107.7 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Mbeya (Mbeya Mjini, Chunya, Mbarali, Mbozi, Kyela) na
➖  Njombe (Makambako).

4. REDIO CG FM
Frequency – 89.5 MHz
COVERAGE:
➖ Mkoa wa Tabora.

5. REDIO FURAHA FM – IRINGA
Frequency – 96.7 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Iringa,
➖ Morogoro (Ifakara, Kilolo, Nyanza, Mlimba) na
➖ Dodoma (Baadhi ya maeneo).

6. LIVING WATER FM - MWANZA
Frequency – 103.3 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
 ➖Mwanza
➖Geita na
➖Mara (kwa baadhi ya maeneo ya mkoa wa Mara, Bunda na Musoma).
 
7. REDIO HHC ALIVE FM – MWANZA
Frequency – 91.7 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
 ➖ Mwanza na
 ➖ Geita (Baadhi ya maeneo).

8. REDIO SAUTI YA INJILI FM – MOSHI
COVERAGE & FREQUENCY
Frequency – 96.1 MHz
➖Arusha (Karatu, Mto wa Mbu),
➖Musoma Vijijini na
➖Sanya Juu.

Frequency 92.3 MHz
➖Moshi na
➖Taveta

Frequency – 99.9 MHz
➖Morogoro,
 ➖Dar es Salaam (Kiluvia, Mbezi Mwisho, Tandale, Kigamboni, Tegeta),
➖Pwani (Daraja la Mkapa) na
➖Dodoma (Kibaigwa na Chamwino).

Frequency – 102.9 MHz
➖Manyara (Kiteto),
➖Dodoma (Kondoa, Chemba, Kongwa, Mpwapwa, Chamwino) na
➖Singida Mashariki.

Frequency – 100.3 MHz
➖Kilimanjaro (Same na Mwanga)

Frequency – 102.6
➖Tanga (Lushoto)

Frequency – 96.5 MHz
➖Tanga Mjini na
➖Zanzibar (Unguja na Pemba).

Frequency – 96.3 MHz
 ➖Kilimanjaro (Rombo).
www.sautiyainjili.org

9. REDIO RUNGWE - TUKUYU
Frequency – 102.5 FM
COVERAGE:
➖ Mbeya
➖ Songwe
➖ Baadhi ya Maeneo (Mkoa wa Njombe na Ruvuma, pamoja na nchi jirani za Malawi na Zambia).

10. REDIO ICE FM – MAKAMBAKO.
Frequency – 99.5 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Njombe,
➖ Iringa (Nyororo na Mufindi),
➖ Ruvuma (Mbinga [Madaba], Kalonga) na
➖ Mbeya (Chunya, Mbarali, Mbeya Mjini (Baadhi ya maeneo).

11. REDIO UPENDO FM – DAR ES SALAAM
Frequency – 107.7 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Dar es Salaam,
➖ Tanga – Lushoto,
➖ Pwani na
➖ Morogoro.

12. REDIO SAFINA FM – ARUSHA
Frequency – 92.5 MHz
COVERAGE:
➖  Mkoa wa Arusha na maeneo ya jirani
Frequency – 105.7 MHz
COVERAGE:
➖ Mkoa wa Iringa na maeneo ya jirani
Frequency – 92.3 MHz
COVERAGE:
➖ Mkoa wa Tanga (Lushoto)
Frequncy – 106.1 MHz
COVERAGE:
➖Mkoa wa Singida na
➖Mkoa wa Kigoma

13. REDIO SHALOM FM - ARUSHA
Frequency – 97.3 MHz
COVERAGE:Mkoa wa
➖ Arusha,
➖ Manyara (Babati),
➖ Kilimanjaro (Mwanga) na
➖ Baadhi ya maeneo ya mkoa wa Singida.

14. REDIO UZIMA FM– DODOMA
Frequency – 94.0 MHz
COVERAGE:Mkoa wa
➖Dodoma,
➖Iringa (Maeneo ya Mtera) na
➖Manyara (Maeneo ya Kiteto).

15. REDIO DIVINE FM – KAHAMA
Frequency – 93.3 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Shinyanga,
➖ Mwanza (Misungwi, Kwimba, Maswa, Sengerema),
➖ Singida (Igunga na Iramba) na
➖ Tabora (Nzega)

�� AUDIO ONLINE RADIO ��

���� KICHEKO ONLINE RADIO:  kwa njia ya sauti,
  http://www.kicheko.com/