Tunamshukuru Mungu tulikuwa na semina ya neno la Mungu jijini Dar es salaam, semina hii ilianza jumapili tarehe 22 hadi jumapili tarehe 29 Septemba, 2019, Kawe uwanja wa Tanganyika Peckas. Tulijifunza somo lenye kichwa kinachosema "KUNENA KWA LUGHA KWA MUDA MREFU KUNAVYOSAIDIA UWEZO WA KUMUABUDU MUNGU", tulijifunza na Roho Mtakatifu alitupa kujazwa nguvu zake kila siku, naamini na wewe uliyefuatilia uliweza kujazwa na hadi sasa unaendelea na nguvu hizo.

Semina hii ilirushwa kwa njia zifuatazo

��KWA NJIA YA TELEVISHENI��

1. UPENDO TELEVISION - DAR ES SALAAM
INAPATIKANA KUPITIA KING’AMUZI CHA STARTIMES CHANNEL No. 459 KWA WANAOTUMIA ANTENA, NA CHANNEL No. 548 KWA WANAOTUMIA DISH.
WATARUSHA TAREHE 13 NA 14 SEPT, 2019. (SIKU YA IJUMAA NA JUMAMOSI).

�� REDIO ZINAZORUSHA SEMINA HII LIVE KUTOKA UWANJANI NI HIZI ZIFUATAZO: ��

1. REDIO BUNDA FM
Frequency – 92.1 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Mara,
➖ Simiyu,
➖ Kagera (Maeneo ya Chato) na
➖ Mwanza (Isipokuwa Mwanza Mjini).

2. REDIO MPANDA FM
Frequency – 97.0 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Katavi,
➖ Rukwa,
➖ Tabora (Sikonge) na
➖ Kigoma (Uvinza).

3. REDIO BARAKA FM - MBEYA
Frequency – 107.7 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Mbeya (Mbeya Mjini, Chunya, Mbarali, Mbozi, Kyela) na
➖  Njombe (Makambako).

4. REDIO CG FM
Frequency – 89.5 MHz
COVERAGE:
➖ Mkoa wa Tabora.

5. REDIO FURAHA FM – IRINGA
Frequency – 96.7 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Iringa,
➖ Morogoro (Ifakara, Kilolo, Nyanza, Mlimba) na
➖ Dodoma (Baadhi ya maeneo).

6. LIVING WATER FM - MWANZA
Frequency – 103.3 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
 ➖Mwanza
➖Geita na
➖Mara (kwa baadhi ya maeneo ya mkoa wa Mara, Bunda na Musoma).
 
7. REDIO HHC ALIVE FM – MWANZA
Frequency – 91.7 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
 ➖ Mwanza na
 ➖ Geita (Baadhi ya maeneo).

8. REDIO SAUTI YA INJILI FM – MOSHI
COVERAGE & FREQUENCY
Frequency – 96.1 MHz
➖Arusha (Karatu, Mto wa Mbu),
➖Musoma Vijijini na
➖Sanya Juu.

Frequency 92.3 MHz
➖Moshi na
➖Taveta

Frequency – 99.9 MHz
➖Morogoro,
 ➖Dar es Salaam (Kiluvia, Mbezi Mwisho, Tandale, Kigamboni, Tegeta),
➖Pwani (Daraja la Mkapa) na
➖Dodoma (Kibaigwa na Chamwino).

Frequency – 102.9 MHz
➖Manyara (Kiteto),
➖Dodoma (Kondoa, Chemba, Kongwa, Mpwapwa, Chamwino) na
➖Singida Mashariki.

Frequency – 100.3 MHz
➖Kilimanjaro (Same na Mwanga)

Frequency – 102.6
➖Tanga (Lushoto)

Frequency – 96.5 MHz
➖Tanga Mjini na
➖Zanzibar (Unguja na Pemba).

Frequency – 96.3 MHz
 ➖Kilimanjaro (Rombo).
www.sautiyainjili.org

9. REDIO RUNGWE - TUKUYU
Frequency – 102.5 FM
COVERAGE:
➖ Mbeya
➖ Songwe
➖ Baadhi ya Maeneo (Mkoa wa Njombe na Ruvuma, pamoja na nchi jirani za Malawi na Zambia).

10. REDIO ICE FM – MAKAMBAKO.
Frequency – 99.5 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Njombe,
➖ Iringa (Nyororo na Mufindi),
➖ Ruvuma (Mbinga [Madaba], Kalonga) na
➖ Mbeya (Chunya, Mbarali, Mbeya Mjini (Baadhi ya maeneo).

11. REDIO UPENDO FM – DAR ES SALAAM
Frequency – 107.7 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Dar es Salaam,
➖ Tanga – Lushoto,
➖ Pwani na
➖ Morogoro.

12.REDIO WAPO - DAR ES SALAAM
Frequency - 98.1 FM
COVERAGE:
- Dar es salaam
- Pwani

13. REDIO SHALOM FM - ARUSHA
Frequency – 97.3 MHz
COVERAGE:Mkoa wa
➖ Arusha,
➖ Manyara (Babati),
➖ Kilimanjaro (Mwanga) na
➖ Baadhi ya maeneo ya mkoa wa Singida.

14. REDIO UZIMA FM– DODOMA
Frequency – 94.0 MHz
COVERAGE:Mkoa wa
➖Dodoma,
➖Iringa (Maeneo ya Mtera) na
➖Manyara (Maeneo ya Kiteto).

15. REDIO DIVINE FM – KAHAMA
Frequency – 93.3 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Shinyanga,
➖ Mwanza (Misungwi, Kwimba, Maswa, Sengerema),
➖ Singida (Igunga na Iramba) na
➖ Tabora (Nzega)

�� AUDIO ONLINE RADIO ��

���� KICHEKO ONLINE RADIO:  kwa njia ya sauti,
  http://www.kicheko.com/
Mungu akubariki kwa kufuatilia na kujifunza neno la Mungu.