Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya semina ya neno la Mungu Iringa, semina hii ilianza Jumatano tarehe 23 itaendelea hadi jumapili tarehe 27 Octoba 2019, Iringa uwanja wa shule ya Msingi Gangilonga. Tulijifunza somo lenye kichwa kinachosema "NENA KWA LUGHA UACHILIE NGUVU ZA MUNGU KWENYE KAZI ZAKO ZA KILA SIKU", tulijifunza na Roho Mtakatifu alitupa kujazwa nguvu zake kila siku, tunaamini pia kwamba Mungu alibadilisha maisha yako kwa kujifunza na kujazwa nguvu za Roho Mtakatifu.

Semina hii ilirushwa kwa njia zifuatazo;

�� KWA NJIA YA REDIO: ��

1. REDIO BARAKA FM - MBEYA
Frequency – 107.7 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Mbeya (Mbeya Mjini, Chunya, Mbarali, Mbozi, Kyela) na
➖  Njombe (Makambako).

2. LIVING WATER FM - MWANZA
Frequency – 103.3 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
 ➖Mwanza
➖Geita na
➖Mara (kwa baadhi ya maeneo ya mkoa wa Mara, Bunda na Musoma).

3. REDIO SAUTI YA INJILI FM – MOSHI
COVERAGE & FREQUENCY
Frequency – 96.1 MHz
➖Arusha (Karatu, Mto wa Mbu),
➖Musoma Vijijini na
➖Sanya Juu.

Frequency 92.3 MHz
➖Moshi na
➖Taveta

Frequency – 99.9 MHz
➖Morogoro,
 ➖Dar es Salaam (Kiluvia, Mbezi Mwisho, Tandale, Kigamboni, Tegeta),
➖Pwani (Daraja la Mkapa) na
➖Dodoma (Kibaigwa na Chamwino).

Frequency – 102.9 MHz
➖Manyara (Kiteto),
➖Dodoma (Kondoa, Chemba, Kongwa, Mpwapwa, Chamwino) na
➖Singida Mashariki.

Frequency – 100.3 MHz
➖Kilimanjaro (Same na Mwanga)

Frequency – 102.6
➖Tanga (Lushoto)

Frequency – 96.5 MHz
➖Tanga Mjini na
➖Zanzibar (Unguja na Pemba).

Frequency – 96.3 MHz
 ➖Kilimanjaro (Rombo).
www.sautiyainjili.org

4. REDIO FURAHA FM – IRINGA
Frequency – 96.7 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Iringa,
➖ Morogoro (Ifakara, Kilolo, Nyanza, Mlimba) na
➖ Dodoma (Baadhi ya maeneo).

.5. REDIO OVERCEMERS - IRINGA

�� AUDIO ONLINE RADIO ��

���� KICHEKO ONLINE RADIO:  kwa njia ya sauti,
  http://www.kicheko.com/
Utukufu na heshima ni kwa Mungu juu mbinguni, kwa semina hii ya Iringa kwa mwaka huu wa 2019.