Tunamshukuru Mungu tunaendelea na semina ya neno la Mungu hapa Mbeya, semina hii imeanza jumapili tarehe 06 itaendelea hadi jumapili tarehe 13 Octoba, 2019, hapa Mbeya uwanja wa Ottu (Mwanjelwa). Tunajifunza somo lenye kichwa kinachosema "NENA KWA LUGHA ILI NGUVU ZA MUNGU ZIKUPONYE", tunajifunza na Roho Mtakatifu anatupa kujazwa nguvu zake kila siku, karibu sana tujifunze na kujazwa nguvu za Roho Mtakatifu.

Unaweza kufuatilia semina hii kupitia njia zifuatazo;

�� KWA NJIA YA REDIO: ��

1. REDIO BARAKA FM - MBEYA
Frequency – 107.7 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Mbeya (Mbeya Mjini, Chunya, Mbarali, Mbozi, Kyela) na
➖  Njombe (Makambako).

2. REDIO CG FM
Frequency – 89.5 MHz
COVERAGE:
➖ Mkoa wa Tabora.

3. REDIO FURAHA FM – IRINGA
Frequency – 96.7 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Iringa,
➖ Morogoro (Ifakara, Kilolo, Nyanza, Mlimba) na
➖ Dodoma (Baadhi ya maeneo).

4. LIVING WATER FM - MWANZA
Frequency – 103.3 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
 ➖Mwanza
➖Geita na
➖Mara (kwa baadhi ya maeneo ya mkoa wa Mara, Bunda na Musoma).
 
5. REDIO HHC ALIVE FM – MWANZA
Frequency – 91.7 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
 ➖ Mwanza na
 ➖ Geita (Baadhi ya maeneo).

6. REDIO SAUTI YA INJILI FM – MOSHI
COVERAGE & FREQUENCY
Frequency – 96.1 MHz
➖Arusha (Karatu, Mto wa Mbu),
➖Musoma Vijijini na
➖Sanya Juu.

Frequency 92.3 MHz
➖Moshi na
➖Taveta

Frequency – 99.9 MHz
➖Morogoro,
 ➖Dar es Salaam (Kiluvia, Mbezi Mwisho, Tandale, Kigamboni, Tegeta),
➖Pwani (Daraja la Mkapa) na
➖Dodoma (Kibaigwa na Chamwino).

Frequency – 102.9 MHz
➖Manyara (Kiteto),
➖Dodoma (Kondoa, Chemba, Kongwa, Mpwapwa, Chamwino) na
➖Singida Mashariki.

Frequency – 100.3 MHz
➖Kilimanjaro (Same na Mwanga)

Frequency – 102.6
➖Tanga (Lushoto)

Frequency – 96.5 MHz
➖Tanga Mjini na
➖Zanzibar (Unguja na Pemba).

Frequency – 96.3 MHz
 ➖Kilimanjaro (Rombo).
www.sautiyainjili.org

7. REDIO RUNGWE - TUKUYU
Frequency – 102.5 FM
COVERAGE:
➖ Mbeya
➖ Songwe
➖ Baadhi ya Maeneo (Mkoa wa Njombe na Ruvuma, pamoja na nchi jirani za Malawi na Zambia).

8. REDIO ICE FM – MAKAMBAKO.
Frequency – 99.5 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Njombe,
➖ Iringa (Nyororo na Mufindi),
➖ Ruvuma (Mbinga [Madaba], Kalonga) na
➖ Mbeya (Chunya, Mbarali, Mbeya Mjini (Baadhi ya maeneo).

9. REDIO UPENDO FM – DAR ES SALAAM
Frequency – 107.7 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Dar es Salaam,
➖ Tanga – Lushoto,
➖ Pwani na
➖ Morogoro.

10.REDIO USHINDI FM - MBEYA
Frequency - 98.5 FM
COVERAGE:
- Mkoa wa Mbeya
- Mkoa wa Songwe

11. REDIO ADONAI FM - MBEYA
Frequency – 101.7 MHz
COVERAGE:
➖ Mkoa wa Mbeya

12. REDIO UZIMA FM– DODOMA
Frequency – 94.0 MHz
COVERAGE:Mkoa wa
➖Dodoma,
➖Iringa (Maeneo ya Mtera) na
➖Manyara (Maeneo ya Kiteto).

13. REDIO DIVINE FM – KAHAMA
Frequency – 93.3 MHz
COVERAGE: Mkoa wa
➖ Shinyanga,
➖ Mwanza (Misungwi, Kwimba, Maswa, Sengerema),
➖ Singida (Igunga na Iramba) na
➖ Tabora (Nzega)

�� AUDIO ONLINE RADIO ��

���� KICHEKO ONLINE RADIO:  kwa njia ya sauti,
  http://www.kicheko.com/
Karibu sana kujifunza neno la Bwana, na Roho Mtakatifu atakuhudumia