Tunamshukuru Mungu tunaendelea na semina ya neno la Mungu hapa Dar es salaam Kawe, semina hii imeanza leo Jumamosi tarehe 02 itaendelea hadi jumapili tarehe 03 Novemba 2019, hapa Dar es salaam uwanja wa Tanganyika Peckas Kawe. Tunajifunza somo lenye kichwa kinachosema "FAIDA KWA MWANAUME ZA KUOMBA KWA KUNENA KWA LUGHA KWA MUDA MREFU", tunajifunza na Roho Mtakatifu anatupa Neema ya kujazwa kwa nguvu zake.

Karibu sana kujifunza neno la Bwana, na Roho Mtakatifu atakuhudumia.