Yohana 21:17 "Yesu akamwambia,"Lisha kondoo zangu"

Huduma za MANA

Mwl. Christopher Mwakasege

Huduma za MANA

BARUA YA MWEZI APRIL 2019


Bwana Yesu asifiwe sana!                 Tunaamini Bwana Yesu anaendelea kukutunza! Sisi hatujambo. Tunaendelea na kazi ya Mungu, kwa kadri ya neema ya Yesu Kristo, iliyo juu ya maisha yetu.…

Soma Zaidi

BARUA YA MWEZI JANUARI HADI MACHI 2019


Bwana Yesu asifiwe                 Tunakusalimu katika jina la Yesu Kristo, aliye Bwana na Mwokozi wetu.                …

Soma Zaidi

Hongera kwa kuokoka


HONGERA KWA KUOKOKA   UTANGULIZI Karibu kwenye Ufalme wa Mungu Kitabu hiki kimeandikwa kwa ajili yako. Roho Mtakatikfu amekiweka mikononi mwako kwa kusudi muhimu la Mungu ndani ya Kristo. Katika Jina lile lipitalo majina yote jina la Yesu Kristo, Bwana na…

Soma Zaidi

KONGAMANO LA KUMI LA MAOMBI KITAIFA - DODOMA


HUDUMA YA MANA INAYOONGOZWA NA MWL. CHRISTOPHER MWAKASEGE INAKUTANGAZIA KUWEPO KWA KONGAMANO LA MAOMBI YA KITAIFA. WAPI: UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM). LINI: TAREHE 24 – 27 JULY 2018. KINA NANI WANAHUSIKA: KILA MKRISTO MWOMBAJI TOKA KATIKA KILA KANISA ATAKAYEKUWA…

Soma Zaidi

Israeli Pamoja Nasi


Mwaka 2007 mwezi wa Desemba, tukiwa nchini Israel, Mungu alisema nasi juu ya kuwahimiza watu wake wajiunganishe na nchi ya Israel Kibiblia. Na kwa kufanya hivyo watakuwa wanaibariki nchi ya Israel, kama sehemu ya maagizo ambayo Mungu amewapa watu wake ulimwengu…

Soma Zaidi

Vipindi ya Redio


Karibu kufuatilia vipindi vya redio kupitia redio mbali mbali kwenye nchi hii, kama ifuatavyo, kila siku ya jumamosi na jumapili kuanzia saa tatu usiku hadi saa nne kamili usiku, kupitia redio 1. Sauti ya injili (Moshi – Kilimanjaro), 2. Upendo (Dar es salaam),…

Soma Zaidi

Sala ya Toba


Inawezekana kabisa ya kuwa wewe unayesoma ujumbe huu hujaokoka - yaani hujampokea Yesu Kristo ndani ya moyo wako kama Bwana na Mwokozi wako. Lakini sasa umeona umuhimu wa kumpokea Yesu Kristo katika maisha yako.

Soma Zaidi

Uweza wa Jina la Yesu


Mtume Paulo anasema katika Waraka wake kwa Wakolosai sura ya tatu na mstari wa kumi na saba kuwa; “Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika JINA LA BWANA YESU, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye.” Hii ina maana ya kuwa, tukila tule…

Soma Zaidi

Jina la Yesu Kristo - Mojawapo ya Funguo za Ufalme wa Mbinguni


“Nami nakuambia ….. na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lolote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lolote utakalolifungua duniani,…

Soma Zaidi

Tafakari Juu ya Jina la Yesu Kristo


“Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali YATAFAKARI MANENO YAKE MCHANA NA USIKU, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapofanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.” (Yoshua 1:8)…

Soma Zaidi