Yohana 21:17 "Yesu akamwambia,"Lisha kondoo zangu"

Huduma za MANA

Mwl. Christopher Mwakasege

{segment_3_category_name}

BARUA YA MWEZI APRIL 2019


Bwana Yesu asifiwe sana!                 Tunaamini Bwana Yesu anaendelea kukutunza! Sisi hatujambo. Tunaendelea na kazi ya Mungu, kwa kadri ya neema ya Yesu Kristo, iliyo juu ya maisha yetu.…

Soma Zaidi

BARUA YA MWEZI JANUARI HADI MACHI 2019


Bwana Yesu asifiwe                 Tunakusalimu katika jina la Yesu Kristo, aliye Bwana na Mwokozi wetu.                …

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi July 2016


Bwana Yesu asifiwe sana! Tunakuandikia barua hii tukiwa mjini Singida, ambapo leo tunaanza semina ya Siku tano. Mwezi huu wa Julai tumeanza semina ya siku 8 mjini Mwanza. Tulikuwa tunajifunza somo linalohusu kujifunza jinsi Mungu anavyoongea na watu ili waweze…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Mei 2016


Bwana Yesu asifiwe sana! Tunakuandikia barua hii ya mwezi huu tukitamani moyoni mwetu, uungane nasi katika kuibariki nchi ya Israeli na raia wake. Tarehe 14 mei 1948 nchi ya Israeli ilizaliwa, nasi katika kumbukumbu hii, tumeona tutumie nafasi hii kukutaka uwe…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Apr 2016


Bwana Yesu asifiwe sana! Pamoja na kwamba tumesheherekea kumbukumbu ya siku ya Pasaka mwezi uliopita, tunaamini bado unaweza kupokea salamu zetu za Pasaka, tunazokuletea kwa njia ya barua hii. Tunakuhimiza utumie mwezii huu, kuimarisha imani yako juu ya msalaba…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi March 2016


Bwana Yesu asifiwe sana! Unaendeleaje na maisha mwana wa Mungu? Sisi tunaendelea vizuri. Mwezi wa Februari tarehe 16 – 21, tulifanya semina mjini Moshi, na tuliuona ukuu wa Mungu katika mafundisho na katika udhihirisho wa nguvu zake. Pia – hadi mwisho…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Feb. 2016


Bwana Yesu asifiwe milele! Unaendeleaje? Je katika mwezi wako huu wa kwanza wa mwaka huu wa 2016, umeweza kumzalia Mungu matunda aliyokuwa anayataka toka kwako? Je, unajua ya kuwa kuna uhusiano kati ya kiwango cha kujibiwa maombi yako, na kile kiwango chako cha…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Jun. 2015


Bwana Yesu asifiwe milele! Tunaamini unaendelea vyema kwa msaada wa uzima wa Yesu Kristo uliomo ndani yako. Sisi pamoja na timu nzima ya MANA – tunaendelea vizuri na kazi ya kumtumikia Mungu.    Tunamshukuru Mungu kwa kila mtu ambaye anapata…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Jan. 2015


Bwana Yesu asifiwe sana! Tunapokusalimia kwa jina la Yesu Kristo, tunakuomba pia upokee salamu zetu za mwaka mpya huu wa 2015. Kama vile Mungu alivyokuwa pamoja nasi mwaka 2014, tunaamini ya kuwa pia atakuwa nasi tena mwaka huu wa 2015, tena kwa kiwango kikubwa…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Jun. 2014


BARUA YA MWEZI JUNI 2014. Bwana Yesu Kristo asifiwe milele. Tunakusalimu katika jina la Yesu Kristo. Hatuhitaji kukukumbusha ya kuwa mwezi wa sita au mwezi wa juni, ni mwezi wa mwisho wa kipindi cha kwanza cha mwaka huu wa 2014. Tangu januari hadi mwezi huu wa…

Soma Zaidi