Yohana 21:17 "Yesu akamwambia,"Lisha kondoo zangu"

Huduma za MANA

Mwl. Christopher Mwakasege

{segment_3_category_name}

Barua ya Mwezi May. 2014


Jina la Yesu litukuzwe milele! Jizoeze kujifunika kwa damu ya Yesu ili ikukinge na Adhabu ya Mungu Kisasi cha shetani juu yako Biblia inatuambia ya kuwa Yesu Kristo ndiye “Pasaka” wetu. Hii ni kwa sababu imeandikwa ya kuwa: “Kwa maana Pasaka wetu…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Apr. 2014


Bwana Yesu Kristo asifiwe Milele! Tunakusalimu katika jina la Yesu Kristo, aliye Bwana wa mabwana, na aliye Mfalme wa    wafalme! Kwa mwaka huu wa 2014, mwezi huu wa nne, umebeba pia sikukuu ijulikanayo kama pasaka. Salamu zetu za pasaka kwako, tunataka…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Mar. 2014


Salamu Katika Jina la Yesu Kristo. Tunakuandikia barua hii tukijua ya kuwa neema ya Mungu iko juu yako, ili kuendelea kutupa  mkono wa shirika katika utumishi huu ambao Mungu ametupa katika nyakati hizi. Semina Tulizokwishafanya Semina tulizozifanya mwezi…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Feb. 2014


Shaloom. Salamu katika jina la Yesu Kristo! Mungu ni mwema! Tumemaliza semina pale Moshi mjini, tuliyoifanya kwa muda wa siku 6, kuanzia tarehe 28 januari hadi tarehe 2 februari. Tulimwona na kumshuhudia Mungu kwa mafundisho na matendo, kwa namna ambayo familia…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Jan. 2014


Shaloom! Bwana Yesu Kristo Asifiwe milele kwa kutupa nafasi ya kuuona na kuuingia mwaka huu mpya wa 2014. Mioyo yetu imejaa shukrani sana kwa Mungu, kwa sababu ya neema yake katika Kristo Yesu; inayotupa kuendelea kumtumikia katika kizazi cha nyakati zetu hizi.…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Nov. 2013


Salamu katika jina la Yesu Kristo! Huu ni mwezi wa Novemba, ikiwa ni ishara muhimu ya kuwa mwezi ujao wa Disemba, ndio mwezi wa mwisho kwa mwaka huu wa 2013! Je, umekumbuka kutoa sadaka ya shukrani, kwa Mungu kukuvusha salama, na kwa ushindi, katika “msimu”…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Oct. 2013


Bwana Yesu Asifiwe milele! Ni furaha yetu katika Roho Mtakatifu kupata nafasi ya kuwasiliana na wewe kwa njia ya barua hii. Mungu ni Mwema; tena ni Mwaminifu, kwa kila amtegemeaye katika maisha yake ya kila siku. Sisi tumeuona tena wema huo, na uaminifu huo katika…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Sept. 2013


Shaloom! Bwana Yesu Kristo asifiwe! Tunaamini Mungu anakutunza na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Sisi tunaendelea vizuri na kazi ya Mungu aliyotukabidhi katika kizazi hiki. Mwezi uliopita, yaani mwezi wa Agosti, ulikuwa na ratiba ambayo ilikuwa…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Aug. 2013


Jina la Yesu Kristo litukuzwe milele na milele – Amina. Mungu azidi kukubariki sana kwa kuisoma barua yetu hii, kwa sababu inaonyesha ya kuwa unafuatilia huduma ambayo Mungu ametupa kwa karibu sana! Mwezi uliopita – yaani mwezi wa saba, tulikuwa na…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi July. 2013


Bwana Yesu asifiwe milele! Tunakusalimu katika jina la Yesu Kristo! Tunaamini ya kuwa Mungu anaendelea kukutunza vyema. Huu ni mwezi Julai au mwezi wa 7 katika mwaka huu. Hii ina maana tumekwishamaliza nusu ya mwaka, na mwezi huu tunaanza nusu ya mwisho ya mwaka…

Soma Zaidi