Yohana 21:17 "Yesu akamwambia,"Lisha kondoo zangu"

Huduma za MANA

Mwl. Christopher Mwakasege

{segment_3_category_name}

Barua ya Mwezi June. 2013


Salamu katika jina la Yesu! Tunamshukuru Mungu sana kwa jinsi ambavyo amekupa kuifuatilia huduma yetu kwa karibu, na kwa kuendelea kutuombea. Mwezi uliopita wa Mei tulikuwa na semina Singida mjini tarehe 1 – 5 mei, halafu tukawa na semina mbili nchini Marekani…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi June 2016


Bwana Yesu asifiwe sana ! Tunakusalimu katika jina la Yesu Kristo! Tunakuandikia barua hii, tukiwa hapa mjini Morogoro tukijiandaa kuanza semina leo ya siku sita! Tunamwamini Mungu kuwa pamoja nasi katika semina hii, huku akijidhihirisha kwa kila mtu atakayekuwepo…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi May. 2013


Salamu katika jina la Yesu Kristo! Tunashukuru ya kuwa Mungu amekupa nafasi ya kuisoma barua yetu hii ya mwezi huu. Mwezi uliopita wa Aprili, tarehe 21 hadi 28 tulikuwa na semina ya neno la Mungu mjini Dodoma. Semina hiyo ilifanyika katika uwanja wa Barafu, ndani…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Apr. 2013


Salamu katika Jina la Yesu Kristo. Huu ni mwezi wa 4 katika mwaka huu wa 2013. Tunajua Mungu amekupa nafasi ya kuungana nasi katika safari hii ya kumtumikia Yeye, sawasawa na kusudi lake! Mwezi uliopita wa tatu tuliumaliza kwa semina tuliyoifanya Tanga mjini, kwenye…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Mar. 2013


Salamu katika Jina la Yesu Kristo! Habari za Huduma: Tumeanza mwezi huu tukiwa jijini Dar es  salaam, tukiwa tunamalizia semina ya neno la Mungu. Semina hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Jangwani, tuliianza tarehe 24 februari, na tuliimaliza tarehe 3 machi…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Feb. 2013


Tunakusalimu kwa jina la Yesu Kristo! Tunaamini ya kuwa – ile kwamba Mungu amekupa nafasi ya kuisoma barua hii, inatuonyesha ya kuwa, moyo wako unafuatilia kwa karibu sana chakula cha kiroho, ambacho Mungu ametupa kwa ajili ya watu wake. Msukumo mkubwa tulionao…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Jan. 2013


Shaloom. Tunakusalimu katika Jina la Yesu Kristo. Salamu zetu za mwaka mpya wa 2013 zinatoka katika 1Mambo ya Nyakati 12:32 unaosema “Na wana wa Isakari, watu wenye akili za kujua nyakati, kuyajua yawapasayo Israeli wayatende… walikuwa watu mia mbili…

Soma Zaidi

Barua ya Mwezi Jan.2016


Yesu alisema: “Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe, kama nisikiavyo ndivyo nihukumuvyo, na hukumu yangu ni ya haki, kwa sababu siyatafuti mapenzi yangu mimi, bali mapenzi yake aliyenipeleka” (Yohana 5;30) Na kwa kuyatenda mapenzi ya Mungu juu ya maisha…

Soma Zaidi