Yohana 21:17 "Yesu akamwambia,"Lisha kondoo zangu"

Huduma za MANA

Mwl. Christopher Mwakasege

{segment_3_category_name}

Sala ya Toba


Inawezekana kabisa ya kuwa wewe unayesoma ujumbe huu hujaokoka - yaani hujampokea Yesu Kristo ndani ya moyo wako kama Bwana na Mwokozi wako. Lakini sasa umeona umuhimu wa kumpokea Yesu Kristo katika maisha yako.

Soma Zaidi

Uweza wa Jina la Yesu


Mtume Paulo anasema katika Waraka wake kwa Wakolosai sura ya tatu na mstari wa kumi na saba kuwa; “Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika JINA LA BWANA YESU, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye.” Hii ina maana ya kuwa, tukila tule…

Soma Zaidi

Jina la Yesu Kristo - Mojawapo ya Funguo za Ufalme wa Mbinguni


“Nami nakuambia ….. na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lolote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lolote utakalolifungua duniani,…

Soma Zaidi

Tafakari Juu ya Jina la Yesu Kristo


“Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali YATAFAKARI MANENO YAKE MCHANA NA USIKU, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapofanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.” (Yoshua 1:8)…

Soma Zaidi

Jifunze Jinsi ya Kusamehe


Tuna uhakika ya kwamba, Roho Mtakatifu anakuongoza kusoma somo hili kwa makusudi kamili.  Maneno yaliyomo humu ni ya kukusaidia wewe na Wakristo wote, ili tuweze kuishi maisha ya "amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa…

Soma Zaidi

Unataka Kuokoka?


Inawezekana kabisa ya kuwa wewe unayesoma ujumbe huu hujaokoka - yaani hujampokea Yesu Kristo ndani ya moyo wako kama Bwana na Mwokozi wako. Lakini sasa umeona umuhimu wa kumpokea Yesu Kristo katika maisha yako.  Naamini Roho Mtakatifu ameweka fursa hii mikononi…

Soma Zaidi

Mkristo na Uchumi


Utangulizi SI MAPENZI YA MUNGU TUWE MASIKINI! (Namna ya mkristo kuishi katika hali ngumu ya uchumi bila kumkosea Mungu) Kati ya mambo yaliyotabiriwa kutokea katika siku hizi za mwisho ni dhiki katika mataifa, pamoja na hali ngumu ya uchumi. Soma mwenyewe katika…

Soma Zaidi

Kitabu - Mbinu za Kuombea Mzaliwa wa Kwanza Kama Lango


Kitabu Kipya cha “MBINU ZA KUMUOMBEA MZALIWA WA KWANZA KAMA LANGO..ili familia yenu ifanikiwe” Hiki ni kitabu cha mwendelezo wa pili katika mafundisho niliyokuwa nayo kuhusu mzaliwa wa kwanza kama Lango, nilichokitoa kwa mara ya kwanza semina ya …

Soma Zaidi

Hatua 5 Muhimu katika Kusamehe.


Inaendelea…………… 3. SAMEHE NA KUSAHAU: Wakati fulani nilikuwa mahali nikifanya semina ya neno la Mungu. Mtu mmoja akanifuata na akaniambia anataka nimuombee. Nikamuuliza; “Nikuombee nini?” Akasema;  “Mimi…

Soma Zaidi

Mwl. Christopher Mwakasege; Umuhimu wa Kuwa Mtendaji wa Neno


Ikiwa kuna swali kubwa ambalo linawatatanisha wakristo wengi, basi ni swali la kukua kwa imani yao ya kikristo. Wengine wanaita ni kukua kiroho kwa wakristo. Ukiwauliza wakristo wengi ya kuwa ni tatizo gani wanaloliona kubwa, linalowakwamisha katika maisha yao…

Soma Zaidi