HUDUMA YA MANA INAYOONGOZWA NA MWL. CHRISTOPHER MWAKASEGE INAKUTANGAZIA KUWEPO KWA KONGAMANO LA MAOMBI YA KITAIFA.

WAPI: UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM).

LINI: TAREHE 24 – 27 JULY 2018.

KINA NANI WANAHUSIKA: KILA MKRISTO MWOMBAJI TOKA KATIKA KILA KANISA ATAKAYEKUWA TAYARI KUJILIPIA GHARAMA ZA USAFIRI NA KULIPIA ADA NDOGO YA USAJILI.

FIKA DODOMA TAREHE 23/07/2018 NA NENDA MOJA KWA MOJA CHUO KIKUU CHA DODOMA - UDOM

NAMNA YA KUSHIRIKI: KILA ANAYEPENDA KUSHIRIKI MAOMBI HAYA ALIPIE ADA YAKE KWENYE AKAUNTI NAMBA CRDB 01J2035480802 - CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE AU NMB 4081617495 -  DIANA MWAKASEGE KISHA AJISAJILI KWA MRATIBU WA MKOA WAKE KWA NAMBA ZILIZOPO HAPA CHINI. ZINGATIA: HATUTAMPOKEA MTU ASIYEJISAJILI KWA MRATIBU WAKE!

WARATIBU