Karibu kufuatilia vipindi vya redio kupitia redio mbali mbali kwenye nchi hii, kama ifuatavyo, kila siku ya jumamosi na jumapili kuanzia saa tatu usiku hadi saa nne kamili usiku, kupitia redio 1. Sauti ya injili (Moshi – Kilimanjaro), 2. Upendo (Dar es salaam), 3. Furaha (Iringa), 4. Faraja (Shinyanga), 5. Uzima (Dodoma) Hii ni kuanzia saa mbili na nusu hadi saa tatu na nusu usiku. Pia kila siku ya Jumatano kuanzia saa tatu usiku hadi saa nne usiku kupitia redio, 6. V.O.T (Voice of Tabora), 7. Wapo (Dar es salaam). Na kila siku ya Ijumaa saa tatu usiku hadi saa nne usiku na Redio CG FM ya Tabora.

Kwa maelezo zaidi kuhusu upatikanaji wa hizo redio

REDIO SAUTI YA INJILI:

Frequency – 96.1 FM

-Arusha, Karatu, Mto wa mbu,

-Musoma vijijini.

-Sanya juu.

Frequency 92.3 FM

-Moshi,

-Taveta

Frequency – 99.9 FM

-Morogoro

-Dar es salaam (Kiluvia, Mbezi Mwisho, tandale, kigamboni, tegeta)

-Pwani (Daraja la Mkapa)

-Dodoma (Kibaigwa na Chamwino)

Frequency – 102.9 FM

-Manyara (Kiteto)

-Dodoma (Kondoa, Chemba, Kongwa, Mpwapwa, Chamwino)

-Singida Mashariki

Frequency – 100.3 FM

Kilimanjaro (Same na Mwanga)

Frequency – 102.6

Tanga (Lushoto)

Frequency – 96.5 FM

Tanga Mjini

Zanzibar (Unguja na Pemba).

Frequency – 96.3 FM

Kilimanjaro (ROMBO).

www.sautiyainjili.org

REDIO UPENDO

Frequency – 107.7 FM

COVERAGE:

Mkoa wa Dar es salaam
Tanga – Lushoto
Mkoa wa Pwani
Morogoro

REDIO FURAHA

Frequency – 96.7 FM

COVERAGE:

Mkoa wa Iringa
Morogoro (Ifakara, kilolo, nyanza, Mlimba)

Dodoma (Baadhi ya Maeneo).

REDIO FARAJA

Frequency – 91.3 FM

COVERAGE:

Mkoa wa Shinyanga (Isipokuwa Kahama Mjini)
Mkoa wa Tabora (Maeneo ya Nzega na Igunga).

REDIO UZIMA

Frequency – 94.4 FM

COVERAGE:

Mkoa wa Dodoma
Mkoa wa Iringa ( Maeneo ya Mtera)
Mkoa wa Manyara (Maeneo ya Kiteto).

REDIO VOICE OF TABORA (V.O.T).
REDIO WAPO

Frequency – 98.1 FM

COVERAGE:

Mkoa wa Dar es salaam
Zanzibar (Baadhi ya maeneo)
Mkoa wa Pwani
Mkoa wa Tanga (Baadhi ya maeneo)
Mkoa wa Morogoro (Maeneo ya Dumila)
Baadhi ya maeneo ya mkoa wa Lindi na Mtwara
Mkoa wa Kilimanjaro (Rombo na maeneo ya njia panda himo).

REDIO CG FM

Frequency – 89.5 FM

COVERAGE:

Mkoa wa Tabora