MANA ni Huduma ya Neno la Mungu yenye makao yake makuu Arusha Tanzania. Huduma hii inaongozwa na Neno la Mungu kutoka katika kitabu cha Yohana 21:17 "Yesu akamwambia,"Lisha kondoo zangu".

Lengo kuu la Huduma hii ni kueneza Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote.

MANA Tanzania na Mwl. Christopher Mwakasege:
P. O Box 2166, Arusha, Tanzania.
Simu: (+255) 0736 501 081 / (+255) 0222 133 787
Fax: (+255) 0736 581 862
Email: tasoet@nexusdigital.co.tz